Ulinganishaji wa uundaji nomino za lugha ya Kiswahili na lugha ya Runyankole kutoka vitenzi

dc.contributor.author Ainokusiima, Patience
dc.date.accessioned 2019-11-27T09:06:57Z
dc.date.available 2019-11-27T09:06:57Z
dc.date.issued 2019-11-26
dc.description Tasnifu hii imetolewa ili kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya awali katika chuo kikuu cha Makerere en_US
dc.description.abstract Kwanza kabisa, ninapenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ambaye amenisaidia na amenibariki katika kufanikisha kazi yangu hii. Shukurani zangu za pekee zimwendee msimamizi wangu wa utafiti huu Dktr. Masengo innocent kwa kubeba jukumu la kuisimamia vyema kazi hii. Nimemshukuru kwa ujasiri na uvumilivu wake mkubwa tokea hatua ya kuandika pendekezo la utafiti hadi kumalizika kwa kazi hii. Ninaamini kuwa amenivumilia vya kutosha kwa udhaifu wangu kama binadamu na kama mwanafunzi Mafanikio yaTasnifu hii yametokana na juhudi yake kubwa ya kusoma, kukosoa , kurekebisha, kuelekeza na kushauri yale yote yanayofaa kuzingatiwa katika utafiti huu. Licha ya majukumu mengi aliyonayo hakusita hata mara moja kusoma kazi yangu kwa umakini mkubwa kwa wakati na kutoa maelekezo yanayojenga kazi hii kwa muda wote na wakati ufaao. Sina cha kumlipa ila nina muombea ubariki kwa mwenyezi Mungu ampe maisha marefu na amzidishie nguvu na imani ili aweze kutoa mchango kwa wanataaluma na taifa kwa ujumla. Nawashukuru wahadhiri wote wa Idara ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha makerere kwa mchango wao walionipa: BW.Wambette,Bw.Kyomuhendo victor,Dktr.masereka levi Mungu awape maisha marefu na ya furaha katika maisha yao yote ili waendelee kutoa mchango wa kitaaluma na wa kijamii katika Taifa letu. Vile vile ninatoa shukurani zangu za dhati kwa wanafunzi wenzangu wote wa shahada ya uzamili ya Kiswahili wa mwaka wa masomo 2015/2019. Shukurani hizi za pekee zimetokana na ushirikiano wao wa dhati kwa kipindi chote cha masomo ya uzamili. Mwenyezi Mungu awazidishie moyo wa kupendana na kusaidiana. Vilevile, ninatoa shukurani zangu za dhati kwa wazazi wangu, mzee mugume zepha na nakate sedridah pamoja na familia yangu kwa kuniendeleza kielimu hadi kufikia hatua hii ya juu. Nawashukuru kwa msaada wao wa hali na mali, Mwenyezi Mungu awajalie afya na rehema tele. en_US
dc.identifier.citation Ainokusiima,P. (2019).Ulinganishaji wa uundaji nomino za lugha ya Kiswahili na lugha ya Runyankole kutoka vitenzi. Makerere University. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/7390
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University. en_US
dc.subject Ulinganishaji wa uundaji nomino za lugha ya Kiswahili en_US
dc.subject lugha ya Runyankole kutoka vitenzi en_US
dc.title Ulinganishaji wa uundaji nomino za lugha ya Kiswahili na lugha ya Runyankole kutoka vitenzi en_US
dc.type Thesis en_US
Files