Elimu kama chombo cha ukombozi wa mwanamke katika riwaya ya Nguvu ya Sala

dc.contributor.author Kasaija, Bonefance
dc.date.accessioned 2024-12-09T14:39:30Z
dc.date.available 2024-12-09T14:39:30Z
dc.date.issued 2023-01
dc.description Tasnifu iliyowasilishwa kwa idara ya Lugha za Kiafrika ili kutimiza baadhi ya mahitaji ya kutunikiwa Shahada ya Sanaa na Ualimu ya Chuo Kikuu Cha Makerere en_US
dc.description.abstract Utafiti huu unahusu elimu kama chombo cha ukombozi wa mwanamke katika riwaya Nguvu ya Sala. Usawiri wa mwanamke ambaye ni msomi katika jamii na yule ambaye hajasoma na anavyonyimwa kwa baadhi ya haki. Malengo ya utafiti huu ni Kuchunguza nafasi ya mwanamke msomi anavyopigania haki katika riwaya Nguvu ya Sala na la pili ni Kubainisha mchango wa mwanamke msomi katika ujenzi wa jamii katika riwaya Nguvu ya Sala. Utafiti huu unatathimini ni kiwango gani mwanamke anavyochangia kupigania haki zake baada ya kupata elimu. Ili kufikia malengo ya utafiti huu, Wanawake wanapaswa kufanya kazi pamoja, kama shirika moja linalopigania jingine kama inavyoonyeshwa katika riwaya Nguvu ya Sala. en_US
dc.identifier.citation Kasaija, B. (2023). Elimu kama chombo cha ukombozi wa mwanamke katika riwaya ya Nguvu ya Sala; unpublished dissertation, Makerere University, Kampala en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/19999
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Ukombozi wa mwanamke en_US
dc.title Elimu kama chombo cha ukombozi wa mwanamke katika riwaya ya Nguvu ya Sala en_US
dc.type Thesis en_US
Files