Taswire za wanawake katika nyimbo za kiswahili

dc.contributor.author Kyosimire, Catherine
dc.date.accessioned 2021-05-03T12:34:30Z
dc.date.available 2021-05-03T12:34:30Z
dc.date.issued 2021-05-01
dc.description A dissertation submitted in partial fulfilment for the requirement for the award for the Degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University. en_US
dc.description.abstract Utafiti huu ulijadili juu ya taswira za wanamke katika nyimbo za Kiswahili.Tatizo lililojenga utafiti huu ni kutokana na jinsi wanaume wanavyomsawiri mwanamke Katika nyimbo kwa upande hasi na chanya yaani kumkweza mwanamke.Utafiti huu ulitumia mbinu ya kusikiliza nyimbo teule za wasanii watano kwa makini ili kujua ni jinsi gani mwanamke anavyochorwa na mwanamume.Pia ulitumia mbinu ya maktabani ili kuchunguza kazi mbalimbali za waandishi tofauti zilizoandikwa kuhusu usawiri wa wanamke.Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni ya ufeministi hususani wa Kiafrika ambao una mawazo yanayozungumzia juu ya harakati za kumkomboa mwanamke Katika jamii inayomdharau na kumkandamiza. Utafiti huu umebaini kwamba kuwa kuna tofauti kubwa ya majukumu kati ya mwanamke na mwanamume.Kwa upande kubwa mwanamke amesawiriwa kwa njia hasi yaani ni tegemezi,malaya na asiye na msimamo.Kwa upande dogo ,mwanamke amechorwa kwa njia chanya yaani ni mwenye mapenzi, mvumilivu na mzazi.Pia utafiti huu umebaini kwamba kuna athari kubwa kwa jamii zinazosababishwa na usawiri wa mwanamke Katika nyimbo. Athari mojawapo kwa wasomaji ni kuiga matendo mabaya ambao ni chanzo cha kumdharau mwanamke.Athari nyingine ni kuiga yale mema yanayompa hamasa mwanamke kuendelea majukumu yake mbalimbali vizuri.Hitimisho la tasnifu hii ni kwamba amekuwa kiumbe cha kutwezwa na mwanamume katika jamii. en_US
dc.identifier.citation Kyosimire, C. (2021).Taswire za wanawake katika nyimbo za kiswahili. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/10511
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University. en_US
dc.title Taswire za wanawake katika nyimbo za kiswahili en_US
dc.type Thesis en_US
Files