Browsing School of Education (SEd.) by Author "Nuwajuna, Peter"
-
Nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii: mfano wa tamthilia; Kimya kimya kimya na Chema chajiuza
Nuwajuna, Peter (Makerere University, 2023-10)Lengo kuu la utafiti huu kulingana na mada ya utafiti lilikuwa kuchunguza nafasi ya mwanamke katika ukombozi wa jamii kwa kupata mifano kutoka tamthilia za Kimya Kimya Kimya na Chema Chajiuza. Vilevile, utafiti huu uliongozwa ...