Browsing School of Education (SEd.) by Subject "Kiswahili novels"
Now showing items 1-2 of 2
-
KULINGANISHA UJENZI WA MAADILI KATIKA RIWAYA YA VIPULI VYA FIGO NA NDOTO YA ALMASI.
(Makerere University, 2022-11-10)Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kulinganisha ujenzi wa maadili katika riwaya teule za kiswahili yaani Vipuli vya figo na Ndoto ya Almasi. Malengo mahususi ni a) Kueleza ujenzi wa maadili katika riwaya ya Vipuli vya ... -
UCHUNGUZI WA STIARI KATIKA RIWAYA YA UHASAMA KILIMANI NA RIWAYA YA UCHUNGU WA MWARIDI
(Makerere University, 2022-11-29)Lengo kuu la utafiti huu ni kuchanganua matumizi ya sitiari katika Riwaya ya Uhasama Kilimani na Riwaya ya Uchungu wa Mwaridi.Malengo mahususi ya utafiti huu ni kubaini utokeaji wa sitiari mbalimbali katika riwaya ya Uhasama ...