Browsing School of Education (SEd.) by Author "Tumutangirire, Acleo"
-
UCHANGANUZI WA TAMTHILIA YA MFALME EDIPODE KAMA KAZI YA UHALISIAJABU
Tumutangirire, Acleo (Makerere University, 2023-02-10)Matini hii inahusu uhalisiajabu katika tamthilia ya Mfalme Edipode ya Sofokile. Katika matini hii nimechunguza uhalisiajabu katika kiwango cha wahusika na mandhari katika tamthilia hii nikiongozwa na nadharia ya Uhalisiajabu. ...