Utafiti huu unalenga kuchambua nafasi ya teknolojia katika ujifunzaji wa Kiswahili Kwa kuzingatia Matala wa umilisi wa shule za upili nchini Uganda.Vilevile uchunguzi utazingatia vipengele vya teknolojia kama vile Kompyuta na Kompyuta kibao, programu za uandidshi na maadishi, matumizi ya mtando na zana za kurekodi sauti na video ili kuendeleza ujifunzaji wa Kiswahili.Matokeo ya utafiti huu yatatarajiwa kutoka mwanga juu ya faida ya Kiswahili katika kuboresha usitadi wa lugha ya Kiswahili Kwa wanfunzi na walimu.Utafiti uliowahi kufanyika hapo awali kuchuguza teknolojia na elimu , ulihusu Kiswahili katika kufundisha teknolojia katika shule za msingi nchini Tanzania na Kevogo (2018)