• Login
    View Item 
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    •   Mak UD Home
    • College of Education and External Studies (CEES)
    • School of Education (SEd.)
    • School of Education (SEd.) Collection
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Usawiri wa mwanamke katika nyimbo zilizoibwa kwa kiswahili na Jose Chameleon

    Thumbnail
    View/Open
    Undergraduate Dissertation (568.6Kb)
    Date
    2022
    Author
    Tumwebaze, Anthony
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Utafiti huu unachunguza athari za Kifonolojia za Kinyankore Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili, mintarafu stadi ya kusoma nchini Uganda hasa kwenye shule za upili. Utafiti huu unatumia nadharia ya Fonolojia ili kuweka baina athari hizo. Katika utafiti huu nimewasilisha na kuchambua na nimekuskusanya data kutoka kwa wanafunzi wenzangu ambao ni wazungumzaji wa lugha ya kinyankore, nimeandika maneno na kuwauliza jinsi wanavyoyasoma kwa kiswahili na nikagundua kuwa kuna baadhi ya fonimu zinatamkwa vibaya na hii ni kwa sababu ya lugha ya mama. Nitaelezea aina za fonimu za Kinyankore na athari za Lugha ya Kinyankore katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili katika mantarafu shule za upili. Sio tu kiswahili ambayo huathiriwa na lugha mama jinsi utafiti huu unavyosisitiza lakini katika hali yoyote ambapo kuna ujifunzaji wa lugha ya pili, lugha ya kwanza inabidi kuingilia ufundishaji na ujifunzaji wa lugha hiyo.
    URI
    http://hdl.handle.net/20.500.12281/12088
    Collections
    • School of Education (SEd.) Collection

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV
     

     

    Browse

    All of Mak UDCommunities & CollectionsTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy TypeThis CollectionTitlesAuthorsBy AdvisorBy Issue DateSubjectsBy Type

    My Account

    LoginRegister

    Statistics

    Most Popular ItemsStatistics by CountryMost Popular Authors

    DSpace 5.8 copyright © Makerere University 
    Contact Us | Send Feedback
    Theme by 
    Atmire NV