Kuchunguza Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kimasaba katika matamshi ya Kiswahili

Date
2022-11-30
Authors
Nafula, Joy
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Utafiti huu umeshughulikia na kuchunguza Athari za Lugha za Lumasaba katika ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili, hasa kwa matamshi na namna matamshi hayo hutamkwa kwa Lugha tofauti na Yule mzawa anapokuwa anajifunza Lugha ya Kiswahili au Lugha za kigeni. Vilevile, Utafiti huu ulichunguza jinsi lafudhi ya lugha ya Lumasaba inaathiri matamshi ya Kiswahili. Athari ya Lughaya mama au Lughaya kwanza katika kusoma na kujifunza Kiswahili nakuongea lugha ya pili ambayo nitatizo linalozikabili jamii ya Bukusu na Bugisu wakati wanapojifunza kuongea lugha ya Kiswahili. Lafudhi ni changamoto kubwa sana kwa wasomi wa eneo hilo. Lafudhi ni namna ya kipekee ya kutamka matamshi unaoathiriwa na lughaya mama, mazingira yake ya kijiographia au kiwango ya eneo anapojifunza Lugha ya pili.
Description
Tasifu ninayowasilisha kwaajili ya kutimiza sehemu ya masharti ya muhula wa mwisho, mwaka watatu (kiswahili isimu). katika chuo kikuu cha Makerere.
Keywords
Lafudhi, Matamshi, Athari
Citation
Nafula.J.(2022). Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kimasaba katika matamshi ya Kiswahili (Haijachapishwa shahada ya kwanza utafiti) Makerere University, Kampala, Uganda