dc.contributor.author | Murisa, Brian Rutebarika | |
dc.date.accessioned | 2023-02-21T11:50:05Z | |
dc.date.available | 2023-02-21T11:50:05Z | |
dc.date.issued | 2023-02-06 | |
dc.identifier.citation | Murisa, B.R. (2023). Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kinyankore katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.(Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. | en_US |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/15728 | |
dc.description | A dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere university. | en_US |
dc.description.abstract | Kazi hii ilihusika na Uchunguzi wa athari za Lafudhi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa Kiswahili.Utafiti huu ulikuwa na malengo matatu ambayo ni Kuchunguza tofauti za kifonolojia baina ya lugha ya Kinyankore na lugha ya Kiswahili, Kuchunguza jinsi lafudhi tofauti tofauti ya wakaazi wa jamii ya Wanyankore inavyoaathiri ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Pamoja na Kueleza utofauti na uiano uliopo baina ya kipengele cha lafudhi na na vipengele vingine vya fonolojia arudhi, baina ya fonimu za Kinyankore na Kiswahili. | en_US |
dc.description.sponsorship | Private | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Makerere University | en_US |
dc.subject | Phonology in languages | en_US |
dc.subject | Kiswahili phonemes | en_US |
dc.subject | Kinyankole phonemes | en_US |
dc.subject | Accents | en_US |
dc.title | Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kinyankore katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili. | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |