Ulinganishaji wa changamoto zinazowakumba vijana katika riwaya za utengano na kufa kuzikana.

Date
2025-12
Authors
Twinomujuni, Vincent
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Utafiti huu ulishughulikia ulinganishaji wa changamoto zinazowakumba vijana katika riwaya za Utengano na Kufa kuzikana. Vijana ni kundi la watu wenye umri mdogo, katika kipindi cha ujana kati ya utoto na utu uzima. Riwaya ya Kufa kuzikana iliandikwa na Ken Walibora mwaka 2003. Riwaya hii ni hadithi inayohusu urafiki kati ya vijana wawili. Pia riwaya ya Utengano iliandikwa na Said A. Mahamed, mwaka 1980 ambazo zinazungumzia juu ya utengano kati ya wahusika mbali mbali.
Description
A dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts in Education of Makerere University.
Keywords
Youth friendship, Novels
Citation
Twinomujuni, V. ( 2025). Ulinganishaji wa changamoto zinazowakumba vijana katika riwaya za utengano na kufa kuzikana. (Unpublished Undergraduate dissertation), Makerere University, Kampala, Uganda.