Kuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili.

Date
2023-12-12
Authors
Kituyi, Sarah
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University.
Abstract
Utafiti huu ulihusu mada kuchunguza taswira na nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za kijamii ya waswahili. Mwanamke ni kiumbe cha kike ambacho kinaaminiwa kuwa kiumbe cha mwanaume na ambacho kinahitajika kubeba mimba/kuzaa watoto na kuwalea. Ili kutekeleza utafiti huu, nilichunguza na nikaangazie jinsi mwanamke alivyosawiriwa katika ngano za kijamii ya waswahili . Utafiti huu ulifanywa kwa kukutana na wazee wa Jamii ya waswahili ambao wana maarifa kuhusu huu utafiti na Pia ambapo niliwahoji.
Description
Tasinifu ya utafiti iliyowasilishwa kwa idara ya lugha ya Kiafrika kwa ajili ya kutimiza baadhi ya Masharti ya kutunukiwa Shahada ya chuo kikuu Makerere .
Keywords
Mwanamke, Taswira, Nyumba
Citation
Kiyuyi, S. (2023). Kuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda.