Kuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili.

dc.contributor.author Kituyi, Sarah
dc.date.accessioned 2024-03-18T10:34:53Z
dc.date.available 2024-03-18T10:34:53Z
dc.date.issued 2023-12-12
dc.description Tasinifu ya utafiti iliyowasilishwa kwa idara ya lugha ya Kiafrika kwa ajili ya kutimiza baadhi ya Masharti ya kutunukiwa Shahada ya chuo kikuu Makerere . en_US
dc.description.abstract Utafiti huu ulihusu mada kuchunguza taswira na nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za kijamii ya waswahili. Mwanamke ni kiumbe cha kike ambacho kinaaminiwa kuwa kiumbe cha mwanaume na ambacho kinahitajika kubeba mimba/kuzaa watoto na kuwalea. Ili kutekeleza utafiti huu, nilichunguza na nikaangazie jinsi mwanamke alivyosawiriwa katika ngano za kijamii ya waswahili . Utafiti huu ulifanywa kwa kukutana na wazee wa Jamii ya waswahili ambao wana maarifa kuhusu huu utafiti na Pia ambapo niliwahoji. en_US
dc.identifier.citation Kiyuyi, S. (2023). Kuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/18572
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University. en_US
dc.subject Mwanamke en_US
dc.subject Taswira en_US
dc.subject Nyumba en_US
dc.title Kuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili. en_US
dc.type Thesis en_US
Files