Kulinganisha Maudhui ya ukoloni katika tamthilia ya Mzalendo Kimathi na Kilio Cha Haki

dc.contributor.author Mucunguzi, Joan
dc.date.accessioned 2023-01-03T15:06:16Z
dc.date.available 2023-01-03T15:06:16Z
dc.date.issued 2022-10-25
dc.description Tasinifu ya utafiti iliyowasilishwa katika idara ya lugha za kiAfrika kutimiza baadhi ya mahitaji ya shahada ya Kwanza ya chuo kikuu Cha Makerere en_US
dc.description.abstract Tamthilia ni utanzu wa fasihi ambao huwasilisha ujumbe wake kwa njia ya usimulizi ama kimaandishi. Kwa mujibu wa Wamitila (2007), huu ni utanzu ambao huandikwa kwa mtindo wa mazugumzo ya wahusika. Tamthlia ambazo tuliteua zilibeba maudhui ya ukoloni ndani yaani Mzalendo Kimathi na Kilio Cha Haki. Aidha, Wamitila anasema kwamba maudhui ni jumla ya mambo yote yanayozungmziwa katika kazi ya kifasihi. Katika utafiti huu tutachunguza maudhui ya utawala ya kikoloni kwa kulinganisha tamthiliya ya Mzalendo Kimathi na ya Kilio cha Haki ili kugundua usawili wa ukoloni katika kazi hizi za Fasihi. Fasihi ni sanaa inayotumia lugha bunifu ili kueleza tajriba mbalimbali za maisha ya wanajamii. Njogu na Chimerah (1999) wanaeleza kuwa fasihi inawasilisha hali, mwingiliano, mivutano na mikinzano miongoni mwa binadamu na mazingira yake. Utafiti huu unahusu ulinganishaji wa maudhui ya utawala ya Kikoloni katika tamthilia mbili za Kiswahili. Hapa tunachunguza jinsi waandishi wa tamthilia walivyosawiri maudhui ya ukoloni katika kazi zao za fasihi. en_US
dc.identifier.citation Mucunguzi, J. (2022). Kulinganisha Maudhui ya ukoloni katika tamthilia ya Mzalendo Kimathi na Kilio Cha Haki (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala Uganda en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/13847
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Ukoloni en_US
dc.subject Mzalendo Kimathi en_US
dc.subject Kilio Cha Haki en_US
dc.title Kulinganisha Maudhui ya ukoloni katika tamthilia ya Mzalendo Kimathi na Kilio Cha Haki en_US
dc.type Thesis en_US
Files