Dhima ya tafsiri katika ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili katika shule za sekondari nchini Uganda

Date
2020
Authors
Tumukunde, Brian
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Utafii huu ulichunguza namna tafsiri inavyowezekana kufanikisha Ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Kama lugha ya pili katika shule za upili za sekondari chini Uganda. Utafiti huu umezingatia hali na mazingira ambapo kutafsiri kunapatikana . Kutafsiri kutoka lugha chanzi kwa lugha lengwa(lugha sababishi), matini chanzi (MC) kwa matini lengwa (ML) Imekuwa mikakati kadhaa ambaye imegunduliwa Kama yaweza kutumiwa na mtafisiri kuishia na kazi nzuri za utafsiri mzuri. Cha umhimu ambacho kimegunduliwa Ni kiasi kikubwa ambacho kinatumia tafsiri kuwafundisha wanafunzi wa nchi lugha ya pili (Kiswahili) yaani lugha lengwa(LL).Kulingana na Utafiti fanyiwa Jambo la mhimu kuelewa Ni kwamba tafsiri katika hali kufundisha na kujifunza lugha ya Kiswahili, tafsiri inatumiwa kwa kiasi kikubwa ama kwa kiasi cha juu cha aslimia 96.
Description
Keywords
Langugae education, Kiswahili, Secondary schools, Uganda
Citation