Dhima ya tafsiri katika ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili katika shule za sekondari nchini Uganda

dc.contributor.author Tumukunde, Brian
dc.date.accessioned 2021-09-20T08:04:19Z
dc.date.available 2021-09-20T08:04:19Z
dc.date.issued 2020
dc.description.abstract Utafii huu ulichunguza namna tafsiri inavyowezekana kufanikisha Ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Kama lugha ya pili katika shule za upili za sekondari chini Uganda. Utafiti huu umezingatia hali na mazingira ambapo kutafsiri kunapatikana . Kutafsiri kutoka lugha chanzi kwa lugha lengwa(lugha sababishi), matini chanzi (MC) kwa matini lengwa (ML) Imekuwa mikakati kadhaa ambaye imegunduliwa Kama yaweza kutumiwa na mtafisiri kuishia na kazi nzuri za utafsiri mzuri. Cha umhimu ambacho kimegunduliwa Ni kiasi kikubwa ambacho kinatumia tafsiri kuwafundisha wanafunzi wa nchi lugha ya pili (Kiswahili) yaani lugha lengwa(LL).Kulingana na Utafiti fanyiwa Jambo la mhimu kuelewa Ni kwamba tafsiri katika hali kufundisha na kujifunza lugha ya Kiswahili, tafsiri inatumiwa kwa kiasi kikubwa ama kwa kiasi cha juu cha aslimia 96. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/10938
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Langugae education en_US
dc.subject Kiswahili en_US
dc.subject Secondary schools en_US
dc.subject Uganda en_US
dc.title Dhima ya tafsiri katika ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili katika shule za sekondari nchini Uganda en_US
dc.title.alternative The role of translation in the learning of Kiswahili as the second language in secondary schools in Uganda en_US
dc.type Thesis en_US
Files