Ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya kivuli kinaishi (1990) na kimya (2011) katika mtazamo wa umaksi (similarities and differences between plays of Kivuli Kinaishi and Kimya according to Umaksi.)
Ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya kivuli kinaishi (1990) na kimya (2011) katika mtazamo wa umaksi (similarities and differences between plays of Kivuli Kinaishi and Kimya according to Umaksi.)
Date
2021-05-26
Authors
Akankwasa, Santrine
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Abstract
Utafiti huu ulihusu ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya Kivuli Kinaishi(1990) na Kimya(2011) Katika mtazamo wa umaksi. Maudhui ni jumla ya mawazo yote yanayoelezwa katika kazi ya fasihi pamoja na mtazamo wa mwandishi juu ya mawazo hayo. Tamthilia za KivuliKinaishi(1990) na Kimya(2011) zinazungumza juu ya watawala na watawaliwa na tabia zao katika jamii. Lengo kuu la utafiti huu ni ulinganishaji na ulinganuaji wa kivulikinaishi(1990) na Kimya(2011)katika mtazamo wa umaksi. Haya yote yalikamilika kwa kutumia mbinu mbalimbali za utafiti kama vile mbinu ya maktabani,mbinu ya mapitio ya maandishi. Kwa kutumia mbinu hizi, mtafiti ataweza kusoma na kuchambua maudhui ya kulinganisha na kulinganua Tamthilia ya Kivulikinaishi (1990)na Kimya(2011) katika mtazamo wa umaksi kwa ukamilifu na kufanikisha malengo ya utafiti wake.
Description
A Dissertation submitted in partial fulfillment of the requirements for the award of a Degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.
Keywords
Citation
Akankwasa, S. (2021). Ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya kivuli kinaishi (1990) na kimya (2011) katika mtazamo wa umaksi (similarities and differences between plays of Kivuli Kinaishi and Kimya according to Umaksi.)Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda.