Ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya kivuli kinaishi (1990) na kimya (2011) katika mtazamo wa umaksi (similarities and differences between plays of Kivuli Kinaishi and Kimya according to Umaksi.)

dc.contributor.author Akankwasa, Santrine
dc.date.accessioned 2021-05-27T08:15:30Z
dc.date.available 2021-05-27T08:15:30Z
dc.date.issued 2021-05-26
dc.description A Dissertation submitted in partial fulfillment of the requirements for the award of a Degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University. en_US
dc.description.abstract Utafiti huu ulihusu ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya Kivuli Kinaishi(1990) na Kimya(2011) Katika mtazamo wa umaksi. Maudhui ni jumla ya mawazo yote yanayoelezwa katika kazi ya fasihi pamoja na mtazamo wa mwandishi juu ya mawazo hayo. Tamthilia za KivuliKinaishi(1990) na Kimya(2011) zinazungumza juu ya watawala na watawaliwa na tabia zao katika jamii. Lengo kuu la utafiti huu ni ulinganishaji na ulinganuaji wa kivulikinaishi(1990) na Kimya(2011)katika mtazamo wa umaksi. Haya yote yalikamilika kwa kutumia mbinu mbalimbali za utafiti kama vile mbinu ya maktabani,mbinu ya mapitio ya maandishi. Kwa kutumia mbinu hizi, mtafiti ataweza kusoma na kuchambua maudhui ya kulinganisha na kulinganua Tamthilia ya Kivulikinaishi (1990)na Kimya(2011) katika mtazamo wa umaksi kwa ukamilifu na kufanikisha malengo ya utafiti wake. en_US
dc.identifier.citation Akankwasa, S. (2021). Ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya kivuli kinaishi (1990) na kimya (2011) katika mtazamo wa umaksi (similarities and differences between plays of Kivuli Kinaishi and Kimya according to Umaksi.)Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/10792
dc.language.iso other en_US
dc.title Ulinganishaji na ulinganuaji wa tamthilia ya kivuli kinaishi (1990) na kimya (2011) katika mtazamo wa umaksi (similarities and differences between plays of Kivuli Kinaishi and Kimya according to Umaksi.) en_US
dc.type Thesis en_US
Files