Jinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrika
Jinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrika
Date
2020-12
Authors
Nuwamanya, Jonan
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Makerere University
Abstract
Utafiti huu ulijadili jinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrika. Hapa nilijaribu kuchunguza kwamba wakati mwandishi anapojaribu kuandika riwaya lazima azingatie mandhari ilia pate riwaya nzuri. Nilitumia riwaya nyingi za kiafrika ambazo zote nyingi zilikuwa zinazungumzia kuhusu ukoloni, ufisadi, ukoloni mamboleo ambayo yalikuwa ndio yanaongoza jamii ya afrika siku hizo. Mwishowe nikagundua kwamba maudhui yanapitakana baada ya kuelewa mandhari katika riwaya iliyoandikwa. Riwaya kadhaa zimetumiwa ili kumalizia utafiti wangu bora kwa mfano riwaya ya Msururu wa usaliti, Ndoto ya almasi na nyingine nyingi za kiafrika.
Description
Utafiti Utakaowasilishwa Katika Idara ya Lugha na Mawasiliano Kwa Lengo la Kutimiza Baadhi ya Mahitaji ya Shahada ya Kwanza
Keywords
Mandhari yanavyosaidia,
Kuchunguza kwamba,
Mwandishi anapojaribu,
Riwaya lazima