Jinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrika

dc.contributor.author Nuwamanya, Jonan
dc.date.accessioned 2022-04-06T14:03:33Z
dc.date.available 2022-04-06T14:03:33Z
dc.date.issued 2020-12
dc.description Utafiti Utakaowasilishwa Katika Idara ya Lugha na Mawasiliano Kwa Lengo la Kutimiza Baadhi ya Mahitaji ya Shahada ya Kwanza en_US
dc.description.abstract Utafiti huu ulijadili jinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrika. Hapa nilijaribu kuchunguza kwamba wakati mwandishi anapojaribu kuandika riwaya lazima azingatie mandhari ilia pate riwaya nzuri. Nilitumia riwaya nyingi za kiafrika ambazo zote nyingi zilikuwa zinazungumzia kuhusu ukoloni, ufisadi, ukoloni mamboleo ambayo yalikuwa ndio yanaongoza jamii ya afrika siku hizo. Mwishowe nikagundua kwamba maudhui yanapitakana baada ya kuelewa mandhari katika riwaya iliyoandikwa. Riwaya kadhaa zimetumiwa ili kumalizia utafiti wangu bora kwa mfano riwaya ya Msururu wa usaliti, Ndoto ya almasi na nyingine nyingi za kiafrika. en_US
dc.identifier.uri http://hdl.handle.net/20.500.12281/11547
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Makerere University en_US
dc.subject Mandhari yanavyosaidia en_US
dc.subject Kuchunguza kwamba en_US
dc.subject Mwandishi anapojaribu en_US
dc.subject Riwaya lazima en_US
dc.title Jinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrika en_US
dc.type Thesis en_US
Files