Show simple item record

dc.contributor.authorCherotich, Lillian
dc.date.accessioned2021-04-21T07:41:01Z
dc.date.available2021-04-21T07:41:01Z
dc.date.issued2021-04-15
dc.identifier.citationCherotich, L. (2021).Matumizi ya mbinu za lugha katika kuendeleza maudhui mfano katika tamthilia za kiswahili mizigo na kimya kimyakimya. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala- Kampala.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/10225
dc.descriptionA Dissertation submitted in the Department of African Languages in partial fulfilment of the award of Degree in Bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractLengo kuu la utafiti huu lilikuwa kuchunguza namna Matumizi ya mbini za lugha katika kuendeleza maudhui mfano katika tamthilia za Mizigo na Kimya Kimya Kimya Pia, malengo mahususi yalikuwa mawili; ambayo ni; Kuchunguza maudhui yanayojitokeza katika tamthilia ya Mizigo na Kimya Kimya Kimya na Kubainisha mbinu za lugha katika tamthilia ya Mizigo na Kimya Kimya Kimya na Kuonyesha jinsi mbinu za lugha zinavyoendeleza maudhui katika tamthilia ya Mizigo na Kimya . Utafiti huu ulikuwa ni utafiti wa maktabani na ulifanyika katika jiji la Kampala. Kampala iliteuliwa kwa sababu ndipo mahali ambapo maktaba zenye vitabu mbalimbali zinapopatikana ikilinganishwa na sehemu nyingine yoyote. Maktaba ya Chuo Kikuu cha Makerere ilitumiwa. Matokeo ya utafiti ni kwamba tamthilia ya Mizigo na Kimya Kimya Kimya zinavyolingana na kutofautian na mbinu za lugha ambazo zilitumika.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere University.en_US
dc.titleMatumizi ya mbinu za lugha katika kuendeleza maudhui mfano katika tamthilia za kiswahili mizigo na kimya kimyakimya.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record