Show simple item record

dc.contributor.authorKyosimire, Catherine
dc.date.accessioned2021-05-03T12:34:30Z
dc.date.available2021-05-03T12:34:30Z
dc.date.issued2021-05-01
dc.identifier.citationKyosimire, C. (2021).Taswire za wanawake katika nyimbo za kiswahili. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/10511
dc.descriptionA dissertation submitted in partial fulfilment for the requirement for the award for the Degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulijadili juu ya taswira za wanamke katika nyimbo za Kiswahili.Tatizo lililojenga utafiti huu ni kutokana na jinsi wanaume wanavyomsawiri mwanamke Katika nyimbo kwa upande hasi na chanya yaani kumkweza mwanamke.Utafiti huu ulitumia mbinu ya kusikiliza nyimbo teule za wasanii watano kwa makini ili kujua ni jinsi gani mwanamke anavyochorwa na mwanamume.Pia ulitumia mbinu ya maktabani ili kuchunguza kazi mbalimbali za waandishi tofauti zilizoandikwa kuhusu usawiri wa wanamke.Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni ya ufeministi hususani wa Kiafrika ambao una mawazo yanayozungumzia juu ya harakati za kumkomboa mwanamke Katika jamii inayomdharau na kumkandamiza. Utafiti huu umebaini kwamba kuwa kuna tofauti kubwa ya majukumu kati ya mwanamke na mwanamume.Kwa upande kubwa mwanamke amesawiriwa kwa njia hasi yaani ni tegemezi,malaya na asiye na msimamo.Kwa upande dogo ,mwanamke amechorwa kwa njia chanya yaani ni mwenye mapenzi, mvumilivu na mzazi.Pia utafiti huu umebaini kwamba kuna athari kubwa kwa jamii zinazosababishwa na usawiri wa mwanamke Katika nyimbo. Athari mojawapo kwa wasomaji ni kuiga matendo mabaya ambao ni chanzo cha kumdharau mwanamke.Athari nyingine ni kuiga yale mema yanayompa hamasa mwanamke kuendelea majukumu yake mbalimbali vizuri.Hitimisho la tasnifu hii ni kwamba amekuwa kiumbe cha kutwezwa na mwanamume katika jamii.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere University.en_US
dc.titleTaswire za wanawake katika nyimbo za kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record