Show simple item record

dc.contributor.authorKyobugabe, Stellah
dc.date.accessioned2021-05-03T12:53:38Z
dc.date.available2021-05-03T12:53:38Z
dc.date.issued2021-05-02
dc.identifier.citationKyobugabe, S. (2021).Uchambuzi wa maudhui ya imani na dini katika tamthilia ya mfalme edipode (1967) [The analysis about the effect of beliefs and religion in play of King Edipode( 1967).en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/10515
dc.descriptionA Dissertation submitted in partial fulfilment of the requirement for the award of a degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulihusu uchambuzi wa maudhui ya imani na dini katika tamthilia ya mfalme Edipode (1967). Maudhui ni jumla ya mawazo yote yanayoelezwa katika kazi ya fasihi pamoja na mtazamo wamwandishi juu ya mawazo hayo. Tamthilia ya Mfalme Edipode (1969) inazungumzia imani za Wagiriki hasa katika mji wa Thebe na historia inaonyesha kwamba, Wagiriki waliamini mno katika miungu yao ikiongozwa Apollo ambaye alikuwa mungu wa Kigiriki na wanaamini kwamba ndiye aliujenga mji wa Thebe. Lengo Kuu la utafiti huu unalenga kuchunguza maudhui ya imani na dini ambayo ni maudhui makuu katika tamthilia ya Mfalme Edipode (1969). Haya yote yalikamilika kwa kutumia mbinu mbali mbali za kiutafiti kama vile; Mbinu ya maktabani, mbinu ya mapitio ya maandishi. Kwa kutumia mbinu hizi mtafiti ataweza kusoma na kuchambua maudhui ya imani na dini katika tamthilia ya mfalme Edipode (1967) kwa ukamilifu na kufanikisha malengo ya utafiti wake.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere University.en_US
dc.titleUchambuzi wa maudhui ya imani na dini katika tamthilia ya mfalme edipode (1967) [The analysis about the effect of beliefs and religion in play of King Edipode( 1967).en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record