Dhima ya teknolojia katika ujifunzaji na ufundishaji wa lugha ya kiswahili.
Abstract
Utafiti huu uhusu nanna teknolojia inavyoweza kuwa ya umuhimu katika kujifunza na kufundisha lugha ya Kiswahili.
Ni vizuri kujua kwamba teknolojia inarahisisha kazi ya yoyote ule inayotafutwa na kwahivyo inafaa irejelewe kwa mara nyingi.