Show simple item record

dc.contributor.authorAturinda, Immaculate
dc.date.accessioned2021-05-11T08:49:04Z
dc.date.available2021-05-11T08:49:04Z
dc.date.issued2021-05-06
dc.identifier.citationAturinda, I. (2021).. Matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya kiswahili katika shule za upili katika wilayani mitooma,Uganda. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/10650
dc.descriptionA Dissertation submitted in partial fulfilment of the requirement for the award of a Degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulichunguza matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili katika shule za upili wilayani Mitooma.suala la utafiti ni kuwa walimu wengi huwa na matatizo katika ufundishaji wa sarufi na wanafunzi wanashindwa sarufi ya Kiswahili kwa matumizi mabaya ya mbinu za kufundishia sarufi. Lengo kuu ni kutathimini ubora wa matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili. Madhumuni ya utafiti huu ni kutambua majukumu ya walimu na wanafunzi katika majadiliano ya vikundi. Machukulio ya utafiti ni kuwa wasailiwa watatoa majibu sahihi kuhusu matumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili katika kidatu cha tatu. Utafiti huu uliongozwa na natharia ya majukumu ya Robert Owen ya mwaka 1998.maandishi ya waandishi wengine yaliangaliwa ili kuchunguza usaili wa mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya Kiswahili. Mahali pakufanyia utafiti ni shule za upili katika kaunti ya Bitereko, wilayani Mitooma. Walengwa ni walimu na wanafunzi wanaosoma Kiswahili kutoka kidatu cha tatu katika shule zilizoteuliwa. Ukusanyaji wa data ulifanywa kupitia hojaji,kwa walimu na wanafunzi katika shule ziliziteuliwa. Na pia data ilichanganuliwa. Utafiti huu ni muhimu sana kwa walimu wanaofundisha Kiswahili na wizara ya elimu. Utafiti huu unapendekeza walimu watumie mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji wa sarufi ya Kiswahili ili kushirikisha wanafunzi katika kazi na kuelewa vizuri muundo wa luhga ya Kiswahili.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere University.en_US
dc.titleMatumizi ya mbinu ya majadiliano ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji wa sarufi ya kiswahili katika shule za upili katika wilayani mitooma,Ugandaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record