Show simple item record

dc.contributor.authorTumukunde, Brian
dc.date.accessioned2021-09-20T08:04:19Z
dc.date.available2021-09-20T08:04:19Z
dc.date.issued2020
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/10938
dc.description.abstractUtafii huu ulichunguza namna tafsiri inavyowezekana kufanikisha Ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Kama lugha ya pili katika shule za upili za sekondari chini Uganda. Utafiti huu umezingatia hali na mazingira ambapo kutafsiri kunapatikana . Kutafsiri kutoka lugha chanzi kwa lugha lengwa(lugha sababishi), matini chanzi (MC) kwa matini lengwa (ML) Imekuwa mikakati kadhaa ambaye imegunduliwa Kama yaweza kutumiwa na mtafisiri kuishia na kazi nzuri za utafsiri mzuri. Cha umhimu ambacho kimegunduliwa Ni kiasi kikubwa ambacho kinatumia tafsiri kuwafundisha wanafunzi wa nchi lugha ya pili (Kiswahili) yaani lugha lengwa(LL).Kulingana na Utafiti fanyiwa Jambo la mhimu kuelewa Ni kwamba tafsiri katika hali kufundisha na kujifunza lugha ya Kiswahili, tafsiri inatumiwa kwa kiasi kikubwa ama kwa kiasi cha juu cha aslimia 96.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectLangugae educationen_US
dc.subjectKiswahilien_US
dc.subjectSecondary schoolsen_US
dc.subjectUgandaen_US
dc.titleDhima ya tafsiri katika ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili katika shule za sekondari nchini Ugandaen_US
dc.title.alternativeThe role of translation in the learning of Kiswahili as the second language in secondary schools in Ugandaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record