Show simple item record

dc.contributor.authorNuwamanya, Jonan
dc.date.accessioned2022-04-06T14:03:33Z
dc.date.available2022-04-06T14:03:33Z
dc.date.issued2020-12
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/11547
dc.descriptionUtafiti Utakaowasilishwa Katika Idara ya Lugha na Mawasiliano Kwa Lengo la Kutimiza Baadhi ya Mahitaji ya Shahada ya Kwanzaen_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulijadili jinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrika. Hapa nilijaribu kuchunguza kwamba wakati mwandishi anapojaribu kuandika riwaya lazima azingatie mandhari ilia pate riwaya nzuri. Nilitumia riwaya nyingi za kiafrika ambazo zote nyingi zilikuwa zinazungumzia kuhusu ukoloni, ufisadi, ukoloni mamboleo ambayo yalikuwa ndio yanaongoza jamii ya afrika siku hizo. Mwishowe nikagundua kwamba maudhui yanapitakana baada ya kuelewa mandhari katika riwaya iliyoandikwa. Riwaya kadhaa zimetumiwa ili kumalizia utafiti wangu bora kwa mfano riwaya ya Msururu wa usaliti, Ndoto ya almasi na nyingine nyingi za kiafrika.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectMandhari yanavyosaidiaen_US
dc.subjectKuchunguza kwambaen_US
dc.subjectMwandishi anapojaribuen_US
dc.subjectRiwaya lazimaen_US
dc.titleJinsi mandhari yanavyosaidia kujenga maudhui katika riwaya za kiafrikaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record