Matumizi ya mbinu za tashbihi na jazanda katika tamthilia za Kiswahili
Abstract
Lengo la jumla:
Kutathmini mbinu ya tashbihi na jazanda katika tamthilia teule ili kubaini vipengele vinavyotofautiana na vinavyofanana katika kutumia lugha ili kufikisha ujumbe katika mkabala wa fasihi linganishi.
Malengo mahususi:
Utafiti huu una malengo mahususi yafuatayo;
Kuainisha vipengele vya lugha katika tamthilia teule.
Kulinganisha na kulinganua vipengele vya lugha katika tamthilia
Kuelezea junsi tashbihi na jazanda zinavyotofautishwa katika tamthilia ya kilio cha haki, kimya kimya