Show simple item record

dc.contributor.authorTumwebaze, Anthony
dc.date.accessioned2022-05-04T06:48:20Z
dc.date.available2022-05-04T06:48:20Z
dc.date.issued2022
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/12088
dc.description.abstractUtafiti huu unachunguza athari za Kifonolojia za Kinyankore Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili, mintarafu stadi ya kusoma nchini Uganda hasa kwenye shule za upili. Utafiti huu unatumia nadharia ya Fonolojia ili kuweka baina athari hizo. Katika utafiti huu nimewasilisha na kuchambua na nimekuskusanya data kutoka kwa wanafunzi wenzangu ambao ni wazungumzaji wa lugha ya kinyankore, nimeandika maneno na kuwauliza jinsi wanavyoyasoma kwa kiswahili na nikagundua kuwa kuna baadhi ya fonimu zinatamkwa vibaya na hii ni kwa sababu ya lugha ya mama. Nitaelezea aina za fonimu za Kinyankore na athari za Lugha ya Kinyankore katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili katika mantarafu shule za upili. Sio tu kiswahili ambayo huathiriwa na lugha mama jinsi utafiti huu unavyosisitiza lakini katika hali yoyote ambapo kuna ujifunzaji wa lugha ya pili, lugha ya kwanza inabidi kuingilia ufundishaji na ujifunzaji wa lugha hiyo.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectSongsen_US
dc.subjectWomenen_US
dc.subjectKiswahili songsen_US
dc.titleUsawiri wa mwanamke katika nyimbo zilizoibwa kwa kiswahili na Jose Chameleonen_US
dc.title.alternativeHow a lady is potrayed in the songs of Jose Chameleon sung in Kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record