Show simple item record

dc.contributor.authorSubai, Maureen A.
dc.date.accessioned2022-05-05T11:46:47Z
dc.date.available2022-05-05T11:46:47Z
dc.date.issued2020-11
dc.identifier.citationSubai, M. A. (2020). Mikondo ya maudhui kwenye tamthilia teule za Kiswahili zenye mandhari ya ukoloni (Unpublished undergraduate dissertation). Makerere University, Kampala Uganda)en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/12160
dc.descriptionTasnifu yautafiti iliyowasilishwa katika idara ya lugha za kiafrika na mawasilianoili kutosheleza maitaji ya shahada ya kwanza (BAED) katika chuo kikuu cha Makerereen_US
dc.description.abstractKazi hii ninaitabarukia wazazi wangu, familia yangu na watu wengine kwa msaada walionipa katika safari yangu ya kufanya utafiti huu. iv Kwanza, ninamshukura sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia uzima na uwezo wa kukamilisha utafiti huu. Pasipo Rehema zake singeweza kukamilisha kazi hii nzito. Pili, ninamshukuru sana Bw. Nsereko Nelson wa Chuo Kikuu cha Makerere aliyekubali kuwa msimamizi wangu katika kazi hii. Hakuchoka kunitia moyo katika kipindi chote cha kazi hii. Ningependa kuwashukuru pia wahadhiri wangu wasomo la Kiswahili vote wa chuo Kikuu cha Makerere hasa Bw. Nsereko Nelson, Dkt Asiimwe Caroline, Bw. Kyomuhendo Victor, Bw. Wambete Francis, Bw. Ndyanabo Emmanuel, Dkt Jjingo Caesar na Dkt Masengo Innocent. Pia, shukrani zangu ziwaendee watafitiwa vote ambao walikubali kushiriki katika utafiti huu na kutoa data zilizotumika. Naishia nikiwashukuru wengine vote waliosaidia kwa namma moja au nyingine katika kufanikisha kukamilika kwa utafiti huu ambao hawako katika makundi tajwa hapo juu.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectTamthiliaen_US
dc.titleMikondo ya maudhui kwenye tamthilia teule za Kiswahili zenye mandhari ya ukolonien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record