Usawiri wa wanaume katika nyimbo za mapenzi za kiswahili
dc.contributor.author | Chepchumba, Diana | |
dc.date.accessioned | 2022-06-15T08:26:45Z | |
dc.date.available | 2022-06-15T08:26:45Z | |
dc.date.issued | 2022-01 | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/13078 | |
dc.description | Mradi Uliowasilishwa Katika Idara ya Lugha Za Kiafrika Kitivocha Lugha na Mawasiliano ili Kutimiza Baadhi ya Masharti ya Kukamilisha Shahada ya Sanaa na Elimu ya Chuo Kikuu chaMakerere University | en_US |
dc.description.abstract | Andiko hili la mradi linalenga kuchunguza usawiri wa wanaume katika nyimbo za mapenzi za kiswahili. Mradi huu unalenga kugundua namna wanaume wanavyooneshwa katika nyimbo hizi za kiswahili kama vile mapenzi, mapenzi hisia na nambari moja. Lengo la mradi huu limeshughulikiwa ipasavyo baada ya kukusanya data za mradi kwa kutumia mbinu za usomaji makini na upitiaji wa nyaraka. Matokeo ya radi yamebainishwa kuwa mwanaume amesawiriwa kwa nafasi mbili yaani chanya na hasi kama vile; Mwenye mapenzi, anajali, mwenye madharau, jasiri, mtiifu, mwadilifu, mvumilivu, na kadhalika. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Makerere university | en_US |
dc.subject | Wanaume | en_US |
dc.subject | Usawiri | en_US |
dc.subject | Nyimbo | en_US |
dc.subject | Mapenzi | en_US |
dc.title | Usawiri wa wanaume katika nyimbo za mapenzi za kiswahili | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |