Show simple item record

dc.contributor.authorMusinguzi, Enos
dc.date.accessioned2022-08-03T07:14:43Z
dc.date.available2022-08-03T07:14:43Z
dc.date.issued2022-02-11
dc.identifier.citationMusinguzi, E. (2022). Mchango wa riwaya ya nyota ya rehema kwa maendeleo ya wanawake katika jamii: [the role of women in the development of society by referring to the novel Nyota Ya Rehema]. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/13200
dc.descriptionA dissertation submitted in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere Universityen_US
dc.description.abstractUtangulizi: Utafiti huu utahusu mada ambayo ni mchango wa riwaya ya nyota ya rehema kwa maendeleo ya wanawake katika jamii. Utafiti huu utachungunza jinsi mwanamke alivyosaidia katika maendeleo ya jamii yake hususani. Lengo la utafiti: Lengo kuu la utafiti huu ni Kuchunguza nafasi ya katika maendeleo ya jamii ya riwaya ya Nyota ya Rehema. Swali la utafiti: Je, mwanamke amechangia nini katika maendeleo ya jamii yake? Mtafiti amelenga swali hii kwa sababu ya kuwa alitaka kutathimini nafasi ya mwanamke katika ujenzi wa jamii kwa kurejelea riwaya ya Nyota ya Rehema.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectwanawakeen_US
dc.subjectwomen and societyen_US
dc.subjectNyota Ya Rehemaen_US
dc.subjectriwaya za fasihien_US
dc.subjectnovelsen_US
dc.titleMchango wa riwaya ya nyota ya rehema kwa maendeleo ya wanawake katika jamii: [the role of women in the development of society by referring to the novel Nyota Ya Rehema]en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record