Kuchambua historia na maendeleo ya riwaya za Kiswahili nchini Uganda kuanzia mwaka wa 2005-sasa.
Abstract
Utafiti huu unahusu,Kuchambua Historia na maendeleo ya Riwaya za Kiswahili Nchini Uganda kuanzia Mwaka wa 2005-Sasa.Katika Sekta ya Elimu .Pia Utafiti huu Umedadavua Kwa Undani Changamoto Ambazo waandishi Wa Riwaya za Kiswahili Wanakumbana Nchini Uganda na Kupitia.Mwishowe Utafiti huu umetoa Pendekezo Chinzi Changamoto Hizo zitatatuliwa.