Show simple item record

dc.contributor.authorNafula, Joy
dc.date.accessioned2023-01-17T12:46:54Z
dc.date.available2023-01-17T12:46:54Z
dc.date.issued2022-11-30
dc.identifier.citationNafula.J.(2022). Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kimasaba katika matamshi ya Kiswahili (Haijachapishwa shahada ya kwanza utafiti) Makerere University, Kampala, Ugandaen_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/14342
dc.descriptionTasifu ninayowasilisha kwaajili ya kutimiza sehemu ya masharti ya muhula wa mwisho, mwaka watatu (kiswahili isimu). katika chuo kikuu cha Makerere.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umeshughulikia na kuchunguza Athari za Lugha za Lumasaba katika ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili, hasa kwa matamshi na namna matamshi hayo hutamkwa kwa Lugha tofauti na Yule mzawa anapokuwa anajifunza Lugha ya Kiswahili au Lugha za kigeni. Vilevile, Utafiti huu ulichunguza jinsi lafudhi ya lugha ya Lumasaba inaathiri matamshi ya Kiswahili. Athari ya Lughaya mama au Lughaya kwanza katika kusoma na kujifunza Kiswahili nakuongea lugha ya pili ambayo nitatizo linalozikabili jamii ya Bukusu na Bugisu wakati wanapojifunza kuongea lugha ya Kiswahili. Lafudhi ni changamoto kubwa sana kwa wasomi wa eneo hilo. Lafudhi ni namna ya kipekee ya kutamka matamshi unaoathiriwa na lughaya mama, mazingira yake ya kijiographia au kiwango ya eneo anapojifunza Lugha ya pili.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectLafudhien_US
dc.subjectMatamshien_US
dc.subjectAtharien_US
dc.titleKuchunguza Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kimasaba katika matamshi ya Kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record