Athari za uchumi katika ukombozi wa mwanamke: riwaya ya Msururu wa usaliti na riwaya ya Nyota ya Rehema.
Abstract
Katika sura hii ya kwanza, kwa jumla ilizungumzia juu ya vipengele muhimu kama utangulizi wa utafiti, usuli wa mada ya utafiti, tatizo ya mada ya utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti, umuhimu wa utafiti, msingi ya kinadharia na hitimisho ya sura ya kwanza