Show simple item record

dc.contributor.authorKiwummulo, Hope
dc.date.accessioned2023-01-20T11:15:55Z
dc.date.available2023-01-20T11:15:55Z
dc.date.issued2023-01-17
dc.identifier.citationKiwummulo, H. (2023). ATHARI ZA LUGHA MAMA KATIKA UJIFUNZAJI WA KISWAHILI KAMA LUGHA YA PILI MIONGONI MWA WANAFUNZI WAGANDA WANAOJIFUNZA KISWAHILI. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/14581
dc.descriptionMRADI HUU UNATOLEWA KWA IDARA YA LUGHA ZA KIAFRIKA KITIVO CHA SANAA JINSIA NA SAYANSI ZA JAMII ILI KUTOSHELEZA BAADHI YA MAHITAJI YA SHAHADA YA SANAA NA ELIMU YA CHUO KIKUU CHA MAKERERE UNIVERSITY.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulishughulikia athari za lugha mama kwa wanafunzi Waganda wanaojifunza lugha yaKiswahili kama lugha ya pili katika wilaya ya Wakiso nchini Uganda.Utafiti huu umegawanyika katika sura tano, sura ya kwanza ni utangulizi, usuli wa mada, suala la utafiti ambalo ni kuziba athari za lugha mama kwa wanafunzi Waganda wanaojifunza lugha ya Kiswahili, umuhimu wa utafiti ambao ni kusaidia wanafunzi wanaofanya makosa ya kisarufi wakati wa ujifunzaji wa Kiswahili. Mbinu alizotumia mtafiti ni hojaji, mahojiano,uteuzi wa sampuli ambayo ni matumizi ya vitu vichache kusimamia vitu vingi katika uamuzi wa jumla vifaa vya kukusanya data vikiwemo hojaji yaani kuandikia wahojiwa ili kusaidia wale wasio na muda wa kuulizwa na mahojiano ambayo ni maswali ya kuwauliza wahojiwa macho kwa macho, pamoja na uchanganuzi wa data.Uwasilishaji wa data ambapo ni makosa ya wanafunzi waliyofanya wakati walitunga insha za Kiganda na Kiswahili, matokeo ya utafiti ambayo mtafiti amegundua kwamba lugha ya Kiganda, ina athari kubwa kwa wanafunzi wa Kiswahili ambao ni Waganda wakati wa kutunga insha za Kishwahili.en_US
dc.description.sponsorshipPrivate.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectMother Languageen_US
dc.subjectSwahili language learningen_US
dc.subjectGanda students' English learners.en_US
dc.titleATHARI ZA LUGHA MAMA KATIKA UJIFUNZAJI WA KISWAHILI KAMA LUGHA YA PILI MIONGONI MWA WANAFUNZI WAGANDA WANAOJIFUNZA KISWAHILIen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record