Utumiaji wa Nyimbo kama mbinu ya kufundishia Kiswahili
Abstract
Utafiti huu ulishughulikia matumizi ya nyimbo kama Mbinu Moja wapo wa kufundishia sarufi ya kiswahili. Basi hivyo ilinibidi kutayarisha hojaji na kwenda nyanjani kupata maoni ya wahojiwa. Utafiti huu pia ulidadavua Mbinu nyingine na nadharia ya kufundisha lugha ya Kiswahili. Mwishowe utafiti huu uligundua mapendekezo juu ya ufundishaji wa sarufi ya kiswahili.