Show simple item record

dc.contributor.authorGumisiiriza, Racheal
dc.date.accessioned2023-01-30T12:25:46Z
dc.date.available2023-01-30T12:25:46Z
dc.date.issued2022-11-29
dc.identifier.citationGumisiiriza, R. (2022). Uchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksi. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/15071
dc.descriptionTasnifu ya utafiti iliyowasilishwa katika taasisi ya sanaa na sayansi za jamii katika idara ya Lugha za Afrika ili kutimiza baadhi ya mahitaji ya Shahada ya Sanaa na Elimu ya Chuo Kikuu Makerereen_US
dc.description.abstractLengo kuu la utafiti huu lilikuwa uchambuzi wa Tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki kwa kutumia Nadharia ya Umaksi. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa ni; udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya Umaksi katika tamthilia ya Mkwamo, pia na udhihirishaji wa matumizi ya nadharia ya umaksi katika tamthilia ya Kilio cha Haki. Utafiti huu ulikuwa ni utafiti wa maktabani na ulifanyika katika jiji la Kampala.Kampala iliteuliwa kwasababu ndipo mahali ambapo maktaba zenye vitabu mbalimbali zinapatikana ikilinganishwa na sehemu nyingine.Nilitumia maktaba ya Chuo Kikuu cha Makerere.Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba tamthilia hizi mbili zinaonesha matumizi ya nadharia ya umaksi.Utafiti umegundua kuwa tamthilia ya Mkwamo na Kilio cha Haki zinatumia nadharia ya umaksi kama vile uongozi mbaya wa kunyanyasa na kukandamiza wenyeji wa Kasulenge inayoongozwa na mfalme Mkazo,dola,harakati za utabaka(tabaka la chini na tabaka la juu),umaskini na biashara (katika tamthilia ya Kilio cha Haki). Katika utafiti huu, mbinu zilizotumiwa kukusanya data ni usomaji kwa makini. Kwa hivyo ninapendekeza kuwa watafiti wengine wazifanyie utafiti zaidi tamthilia hizi mbili kwa kutumia nadharia nyingine kama umuundo, uhalsia. Kubaini matumizi ya lugha na dhamira kuu za vitabu hivi. Mwisho kabisa utafiti huu umetoa hitimisho na kwa ujumla mapendekezo kwa watafiti wengine watakaopenda kuchunguza matumizi ya nadharia ya umaksi.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjecttamthiliaen_US
dc.subjectMkwamoen_US
dc.subjectKilio Cha Hakien_US
dc.subjectNadharia ya Umaksien_US
dc.subjectnovelsen_US
dc.subjectKiswahilien_US
dc.subjectKiswahili fasihien_US
dc.subjectKiswahili literatureen_US
dc.subjectMarxism theory in literatureen_US
dc.titleUchambuzi wa tamthilia ya Mkwamo na Kilio Cha Haki kwa kutumia nadharia ya Umaksien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record