dc.contributor.author | Mbabazi, Annet | |
dc.date.accessioned | 2023-01-31T09:12:18Z | |
dc.date.available | 2023-01-31T09:12:18Z | |
dc.date.issued | 2023-01-23 | |
dc.identifier.citation | Mbabazi, A. (2023). Matumizi ya Nyimbo katika Ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda. | en_US |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.12281/15151 | |
dc.description | A dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University. | en_US |
dc.description.abstract | Kuna mbinu nyingi za ufundishaji wa lugha ya kiswahili na mmoja wapo ni mbinu ya nyimbo.Mimi kama mtafiti nilijitolea mhanga na kwenda nyanjani ili kufanya utafiti na kuchunguza vile nyimbo zinavyotumiwa na walimu pamoja na wanafunzi darasani.Katika kazi hii niligundua kwamba nyimbo zinatungwa na walimu wenyewe na kizifundisha kwa wanafunzi darasani.Katika kazi hii nimetia namna nyimbo zinazotumiwa darasani, maoni ya wanafunzi na walimu kuhusu matumizi ya nyimbo na changamoto zinazowakumba na namna ya kuzitatua. | en_US |
dc.description.sponsorship | Private | en_US |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Makerere University | en_US |
dc.subject | Nyimbo | en_US |
dc.subject | Ufindisha Lugha ya Kiswahili | en_US |
dc.title | Matumizi ya Nyimbo katika Ufundishaji wa Lugha ya Kiswahili | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |