KULINGANISHA USAWIRI WA MWANAMKE KATIKA TAMTHILIA YA MAMA EE NA CHEMA CHAJIUZA
Abstract
Utafiti huu umeshughulikia kulinganisha usawiri wa mwanamke katika tamthilia Mama Ee na Chema Chajiuza. Utafiti huu umeshughulikia kuchunguza usawiri wa mwanamke katika tamthilia Mama Ee na tamthilia Chema Chajiuza. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya Ufeministi wa Kiafrika (1981), unaopingania haki ya mwanamke kwa kumkomboa kutoka
mikononi ya mwanamume.