Show simple item record

dc.contributor.authorAharimpisya, Provia
dc.date.accessioned2023-02-02T09:26:00Z
dc.date.available2023-02-02T09:26:00Z
dc.date.issued2022-11-07
dc.identifier.citationAharimpisya, P. (2022). Usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama Ee (1987). (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/15305
dc.descriptionTasnifu ya utafiti iliyowasilishwa katika Idara ya Lugha za Kiafrika Chuo Kikuu cha Makerere ili kutimiza mahitaji ya Shahada ya Sanaa ya Ualimu (BAED).en_US
dc.description.abstractLengo kuu: Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza usawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama ee (1987). Malengo Mahususi: (i) Kutathmini namna mwanamke anavyosawiriwa katika tamthilia ya Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mamam ee (1987). (ii) Kubainisha majukumu ya wahusika wa kike ndani ya na mwanamme tamthilia ya Kwenye Ukingo wa Thim na Mama ee (1987). (iii) Kupendekeza njia bora za kumtunza mwanamke katika jamii ya leo. [Abstract in English: Analysis of how the contemporary woman is portrayed in the novels "Kwenye Ukingo wa Thim (1988)" by Said A. Mohamed and "Mama Ee (1987)" by Ali Katini Mwachfu.]en_US
dc.description.sponsorshipMastercard Scholars' Program at Makerere Universityen_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectWanawakeen_US
dc.subjecttamthiliaen_US
dc.subjectKiswahilien_US
dc.subjectKwenye Ukingo wa Thim (1988)en_US
dc.subjectMama Ee (1987)en_US
dc.titleUsawiri wa mwanamke wa kisasa katika tamthilia teule za Kiswahili Kwenye Ukingo wa Thim (1988) na Mama Ee (1987): [Analysis of how the contemporary woman is portrayed in the novels "Kwenye Ukingo wa Thim (1988)" by Said A. Mohamed and "Mama Ee (1987)" by Ali Katini Mwachfu.]]en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record