Show simple item record

dc.contributor.authorAijuka, Ronah
dc.date.accessioned2023-02-07T10:21:37Z
dc.date.available2023-02-07T10:21:37Z
dc.date.issued2022-02-18
dc.identifier.citationAijuka, R. (2022). Changamoto za ukombozi wa wanyonge katika tamthiliya ya Kilio cha Haki. (Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University, Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/15503
dc.descriptionTasnifu hii imetololewa ili kutosheleza baadhi maitaji ya kukamilisha shahada ya sanaa katika elimu ya chuo kikuu cha Makerereen_US
dc.description.abstractIKISRI: Makala hii inahusu uchunguzi wa changamoto zinazo kupigania haki zao katika tamthilia ya Kilio cha Haki wakumba wanyonge wakati wa (1987) ilioandikwa na A. Mazarui. Kwamfano kuna changamoto kama changamoto za utamaduni, changamoto za vifo, changamoto za kifamilia, changamoto za usaliti nakadhalika. Tafiti mbalimbali zimechunguza juu ya haki za wanyonge lakini kume kuwa ukosefu wa kutosha kuhusu haki za wanyonge ndiyo maana makala hii inajihusisha na changamoto zinazo wakumba wanyonge wakati wa kudai haki zao kwakutumia migomo na mandamano katika jamii. Nadh alia iliotumia katika makala hii ni nadhalia ya Umaksi ambayo inajionesha kwamba kati jamii kunu tabaka la juu ambapo niwa mabwenyenye na tabaka la chini ambapo ni watu wa kipato kidogo ambapo wale wa juu wananyanyasa wale wa nchini. Utafiti huu ulifanyiwa maktabani lakini pia mutandaoni. Kwa upande wa maktabani mtafiti aliweza kusoma nakala mbalimbali za Kiswahili na vitabu vya kiswahili. Tamthilia teule ya kiswahili ambao ni tamthilia ya Kilio cha Haki ch (1987) A. Mazrui ilisomwa kwa kina ilikuweza kupata angamoto za ukombozi wa wanyonge katika jamii. Matokeo ya utafili huu yalionyesha kwamba watu wakijalibu kudai haki zao na kujikomboa weza kupata changamoto na vikwazo mbalimbali ambazo huwasababishia kuchelewa kutimiza malengo yao. Abstract in English: Analysis of the challenges faced by the weak who were fighting for their rights according to the novel Kilio cha Haki written by A. Mazrui in 1987.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectChangamoto za ukombozien_US
dc.subjectwanyongeen_US
dc.subjectKilio cha Hakien_US
dc.titleChangamoto za ukombozi wa wanyonge katika tamthiliya ya Kilio cha Hakien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record