Athari za Lafudhi ya Lugha ya Kinyankore katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.
Abstract
Kazi hii ilihusika na Uchunguzi wa athari za Lafudhi ya Kinyankore katika ujifunzaji wa Kiswahili.Utafiti huu ulikuwa na malengo matatu ambayo ni Kuchunguza tofauti za kifonolojia baina ya lugha ya Kinyankore na lugha ya Kiswahili, Kuchunguza jinsi lafudhi tofauti tofauti ya wakaazi wa jamii ya Wanyankore inavyoaathiri ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili Pamoja na Kueleza utofauti na uiano uliopo baina ya kipengele cha lafudhi na na vipengele vingine vya fonolojia arudhi, baina ya fonimu za Kinyankore na Kiswahili.