Ulinganishaji wa maudhui kisiasa katika tamthilia ya kilio cha hiki (1981) na kimya kimya (2011): [a comparison of the political content in the play Cry of Justice (1981) and Silence]
Abstract
Malengo ya utafiti. Utafiti wowote kufanikiwa, lazima uwe na malengo fulani. Malengo ya utafiti huu. Lengo Kuu. i) Kuchunguza Maudhui ya kisiasa yanayojitokeza katika tamthilia ya Kilio cha Haki na
Kimya Kimya. ii) Malengo Mahususi. Kueleza visa vya kisiasa vinavyojitokeza katika katika tamthilia ya Kilio cha Haki na. Kimya Kimya. iii)Kubaini tofauti wa Kisiasa unavyojitokeza katika Tamthilia ya Kilio cha Haki na kimya Kimya. (iii)Kutafakari jinsi ya kuimarisha ya uongozi bora katika jamii zetu. [Abstract in English: Research objectives. The objectives of this study. The main goal. i) Investigating the political content emerging in the drama Cry of Justice and Silence Silence. ii) Specific Objectives. To explain the political cases that appear in the drama Cry of Justice and Silence. iii) Identifying the political difference that emerges in the Drama of the Cry of Justice and Silence. (iii) Reflecting on how to strengthen good leadership in our communities.]