Usawiri wa mwanamke kama mkombozi wa wanajamii na jamii anamoishi kwa kurejelea tamthilia za kimya kimya kimya na kilio cha haki
Abstract
Lengo la utafiti. Lengo kuu la utafiti: Kueleza umuhimu na mchango wa jinsia ya kike (mwanamke) katikaharakati za kukomboa wanajamii kutoka kwa maovu wanawotendewa na wale wanaowatawala. Malengo mahususi: Kulinganisha umuhimu wa wanawake na wanaume katika harakati za kimapinduzi nakuleta ukombozi katika jamiiza kiafrika. Ni changamoto gani ambazo wanawake wanakutana nazo wakiwa wanajaribu kuleta ukombozi katika jamii wanamoishi. Je ukombozi unasaidiaje wanajamii. [To explain the importance and contribution of the female gender (woman) in the movement to liberate members of society from the evils they are treated by those who rule them. Specific objectives: Comparing the importance of women and men in revolutionary movements brings liberation in African societies. What are the challenges that women face while trying to bring about liberation in the society where they live. How does liberation help the members of the community].