Athari zinazomkumba mwanamke mkombozi katika maendeleo ya jamii: mfano wa tamthilia ya kilio cha haki (1981) na mama ee (1987)
Abstract
Katika sura hii ya kwanza, utafiti huu, ulijadili masuala yafuatayo kama vile: usuli wa utafiti, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti na umuhimu wa utafiti. Vilevile ulichambua misingi ya kinadharia. Masuala haya ni muhimu sana kwa sababu
yaliupa utafiti huu mwongozo imara.