Show simple item record

dc.contributor.authorTumukunde, Sophia
dc.date.accessioned2023-12-29T10:28:23Z
dc.date.available2023-12-29T10:28:23Z
dc.date.issued2023-11-20
dc.identifier.citationTumukunde, S. (2023). Kutathmini mwanamke msomi kama chanzo cha ukombozi katika jamii kwa kurejelea tamthilia ya kimya kimya na riwaya ya msururu wa usaliti. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/18010
dc.descriptionA Dissertation submitted to the department of African languages in partial fulfillment of the requirement for the award of degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia mwanamke msomi kama chanzo cha Ukombozi katika jamii kwa kurejea Tamthilia ya kimya kimya na Msururu wa Usaliti. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kudadisi mwanamke msomi katika tamthilia na Riwaya za kiswahili, kudadisi mchango wa wanawake wasomi katika kujikomboa na kukomboa wenzao,kuchunguza changamoto mbalimbali zinazokumba wanawake wasomi katika harakati za ukombozi katika tamthilia hizi mbili na pia kuonyesha mikakati ya kujikomboa wanayoitumia wanawake katika tamthilia ya kimya kimya na Msururu wa Usaliti Katika utafiti huu uliongozwa na nadharia ya ufeministi ambayo ilituongoza katika uchambuzi na uwasilishaji wa data kwa kuzingatia misingi yake. Kwa mujibu wa Bouchier (1983) ufeministi ni dhana inayoelezea hali na tendo la wanawake wanaodai kujieleza katika jamii mbalimbali na wanaume wanaounga mkono jitihada za wanawake hao. Ni dhana inayopinga mfumo dume na kujaribu kutatua matatizo yanayowakabili wanawake katika jamii ambazo zinaongozwa na mfumo dume katika maisha yake ya kila siku.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectEducated womanen_US
dc.subjectSource of Liberationen_US
dc.subjectSocietyen_US
dc.subjectThe series of Betrayalen_US
dc.titleKutathmini mwanamke msomi kama chanzo cha ukombozi katika jamii kwa kurejelea tamthilia ya kimya kimya na riwaya ya msururu wa usaliti.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record