Show simple item record

dc.contributor.authorKituyi, Sarah
dc.date.accessioned2024-03-18T10:34:53Z
dc.date.available2024-03-18T10:34:53Z
dc.date.issued2023-12-12
dc.identifier.citationKiyuyi, S. (2023). Kuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili. Unpublished undergraduate dissertation. Makerere University; Kampala-Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/18572
dc.descriptionTasinifu ya utafiti iliyowasilishwa kwa idara ya lugha ya Kiafrika kwa ajili ya kutimiza baadhi ya Masharti ya kutunukiwa Shahada ya chuo kikuu Makerere .en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulihusu mada kuchunguza taswira na nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za kijamii ya waswahili. Mwanamke ni kiumbe cha kike ambacho kinaaminiwa kuwa kiumbe cha mwanaume na ambacho kinahitajika kubeba mimba/kuzaa watoto na kuwalea. Ili kutekeleza utafiti huu, nilichunguza na nikaangazie jinsi mwanamke alivyosawiriwa katika ngano za kijamii ya waswahili . Utafiti huu ulifanywa kwa kukutana na wazee wa Jamii ya waswahili ambao wana maarifa kuhusu huu utafiti na Pia ambapo niliwahoji.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMakerere University.en_US
dc.subjectMwanamkeen_US
dc.subjectTaswiraen_US
dc.subjectNyumbaen_US
dc.titleKuchanganua taswira na Nafasi ya mwanamke mkaa nyumba katika ngano za waswahili.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record