Show simple item record

dc.contributor.authorApio, Catherine
dc.date.accessioned2024-03-26T12:33:24Z
dc.date.available2024-03-26T12:33:24Z
dc.date.issued2023-10-16
dc.identifier.citationApio, C.(2023). Kuchunguza athari ya lugha ya Kikonjo katika kujifunza lugha ya Kisawhili.(Unpublished Undergraduate Dissertation). Makerere University; Kampala, Uganda.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.12281/18594
dc.descriptionA dissertation submitted to the College of Education and External Studies in partial fulfillment of the requirements for the award of the degree of Bachelor of Arts with Education of Makerere University.en_US
dc.description.abstractLengo kuu la utafiti huu ni kujua jinsi ambavyo mtoto wa kikonzo anayejifunza lugha ya Kiswahili anavyoathiriwa na lugha yake ya mama katika harakati za kujifunza lugha ya kiswhili sanifu. Utafiti huu umefanywa katika mjini Kasese.Taasisi mbili zilishilikishwa kwa shule za sekondari kasese na Hima Green Hill. Pia wataaluma ( wazazi) wa vijiji hivyo Kasese na Hima.Utafiti huu umetumia mbinu ya dodoso, hojaji na mahojiano ya makundi katika kusanya data. Matokeo ya utafiti huu umebaini kwamba athari ya lugha ya kikonjo katika kujifunza lugha ya Kiswahili sanifu inatokana na sababu ya Watoto kuhamisha uelewa wa lugha ya kwanza ya kikonjo kwenda lugha ya pili ambayo ni lugha ya Kiswahili. Watoto walio wengi wana athari ya lugha ya mama. Mapendekezo ya utafiti ni kwamba lugha ya kikonjo inaleta athari kwa Watoto wakikonjo wenyewe wanapokuwa wanajifunza lugha ya Kiswahili sanifu. Mtoto wa kikonjo akijifunza lugha ya Kiswahili tangu utotoni kitamwezesha kuimudu lugha hii ya Kiswahili sanifu. Kiswahili kimekuwa lugha inayotumiwa katika ngazi mbalimbali za kielimu, maofisini, serikali.en_US
dc.description.sponsorshipPrivate.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMakerere Universityen_US
dc.subjectLearning Kiswahili languageen_US
dc.subjectLocal language (Kikonjo)en_US
dc.titleKuchunguza athari ya lugha ya Kikonjo katika kujifunza lugha ya Kisawhilien_US
dc.title.alternativeInvestigating the effect of Konjoni language in learning Swahili language.en_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record