Kutathimini mabadiliko ya usawiri wa mwanamke katika jamii yetu kwa kurejelea riwaya ya Nyota ya Rehema.
Abstract
Utafiti huu ulizingatia vipengele muhimu vifuatavyo: Utangulizi, Usuli wa mada, Tatizo la utafiti, Malengo ya utafiti, Mapitio ya mandishi, umuhimu wa utafiti, nadharia ya utafiti, maswali ya utafiti, mbinu za utafiti, uwasilishaji na uchambuzi wa data za utafiti, muhutasari, hitimisho na mapendekezo.